MSIBA:Kokudo afiwa na mwanae . . . . . !!

MSIBA:Kokudo afiwa na mwanae . . . . . !!

Mkuu kokudo pole sana na msiba na Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu. Roho ya mwanao ipumzike kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kokudo, Mungu akutie nguvu pamoja na wafiwa wote. Pole mamii
 
Pole sana ndugu, Mwenyezi MUNGU na awape faraja katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana kokudo, yote yana MUNGU sote tumwombe yeye atakuvusha katika majonzi haya. Pole sana
 
Last edited by a moderator:
Ni wakati mgumu sana kwa mzazi pengine kupita wakati mwingine wowote ule. Pole sana kokudo ...
 
Last edited by a moderator:
kokudo pole sana mkuu Mwenyezi Mungu akupe nguvu na faraja hasa wati huu mgumu.
Alitupa na amechukua jina lake lihimidiwe
 
Pole sana niwakati mgumu kuliko nyakati zote mbaya ulizo wahi pitaia..lkn mungu ni mwema naamin atakutia nguvu..pole sana
 
Pole sana kokudo na Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi ameni
 
Last edited by a moderator:
Pole Kokudo na familia yako yote

RIP little angel, kokudo's kid

Ni wakati mgumu sana,lakini ni lazima tukubaliane na matokeo tu
'
Mwana JF mwenzetu tena mkongwe kokudo amefiwa na mwanae wa kiume jana na mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao kokudo Ibadakuli
'
Ndugu yangu na rafiki yangu mpendwa sana kokudo amenipigia simu muda huu na kunijulisha kuwa mwanae wa miezi mitatu amèariki kwa tatizo la kifua
'
Kwa yoyote atakaehitaji kumpa pole mwenzetu huyu kwa simu unaweza kumpata 0713 131 366(ametoa ruksa niweke namba yake)
'
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake libarikiwe
'
Dena Amsi popote ulipo pokea taarifa hii!
 
Last edited by a moderator:
Mungu wetu mwenye uweza na amjalie kokudo moyo mkuu wa àmani, uvumîlivu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu. Jina la BWANA lihimidiwe na wote tuseme amina.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom