md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Pole sana, Mungu awe nanyi kipindi hiki kigumu!
Nimem-miss DaMie!
Ni wakati mgumu sana,lakini ni lazima tukubaliane na matokeo tu
'
Mwana JF mwenzetu tena mkongwe kokudo amefiwa na mwanae wa kiume jana na mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao kokudo Ibadakuli
'
Ndugu yangu na rafiki yangu mpendwa sana kokudo amenipigia simu muda huu na kunijulisha kuwa mwanae wa miezi mitatu amèariki kwa tatizo la kifua
'
Kwa yoyote atakaehitaji kumpa pole mwenzetu huyu kwa simu unaweza kumpata 0713 131 366(ametoa ruksa niweke namba yake)
'
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake libarikiwe
'
Dena Amsi popote ulipo pokea taarifa hii!