MSIBA:Kokudo afiwa na mwanae . . . . . !!

MSIBA:Kokudo afiwa na mwanae . . . . . !!

RIP Mtoto wa mpendwa wetu.
Mungu awape nguvu ya kuvumilia katika kipindi hiki kigumu
 
ooohhh jamani, roho yake ipumzike kwa amani. msiba wapi?
 
kokudo salamu za pole zikufikie hapo ulipo
Mungu awape faraja yake katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Ni wakati mgumu sana,lakini ni lazima tukubaliane na matokeo tu
'
Mwana JF mwenzetu tena mkongwe kokudo amefiwa na mwanae wa kiume jana na mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao kokudo Ibadakuli
'
Ndugu yangu na rafiki yangu mpendwa sana kokudo amenipigia simu muda huu na kunijulisha kuwa mwanae wa miezi mitatu amèariki kwa tatizo la kifua
'
Kwa yoyote atakaehitaji kumpa pole mwenzetu huyu kwa simu unaweza kumpata 0713 131 366(ametoa ruksa niweke namba yake)
'
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake libarikiwe
'
Dena Amsi popote ulipo pokea taarifa hii!

Pole sana kokudo mungu akutie nguvu
 
mungu akupe faraja kokudo pole sana
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mpendwa, mlimpenda lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi, apumzike kwa amani.
 
Pole sana kokudo. Mungu awape nguvu ya kustahimili jaribu hili kuu katika familia.
 
Poleni sana wafiwa nyote

Upumzike salama mtoto
 
I can feel how you are feeling now kokudo.Mungu mwenyewe akafanyike msaada ndani ya moyo wako. Let him be your healing power. Pole sana saana. Daah pole kokudo
 
Last edited by a moderator:
Mungu akutie nguvu kokudo hasa wakati mgumu kama huu.!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom