Kokudo ukweli ni kwamba, faraja yangu si kitu, si zaidi ya mtoto uliyempoteza, ngoja nirudi nyuma nimwache Mungu akufariji maana faraja yake ni zaidi ya faraja za wanadamu...
MMU tunakupenda... Mungu akutie nguvu usimame na usonge mbele tena..
Mkuu kokudo, napenda kuungana na Wanajamii wenzangu kukupa Salam zangu za dhati kwa msiba mzito uliokupata wewe na familia yako. M/Mungu akutangulie na ukuongoze na busara zake katika msiba huu mzito.
Pole sana ndugu kokudo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.