Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,362
- 64,540
Watakuwa wamefanya la maana, kwa sababu na ukweni bado wanadai mahari yao.Hahahaha leo mambo mufti utakula chapati kwa maini rosti
Watakuwa wamefanya la maana, kwa sababu na ukweni bado wanadai mahari yao.Hahahaha leo mambo mufti utakula chapati kwa maini rosti
Ahahaha 😂 😂 😂Unakuta akina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah Samia atosha tukutane2030 MamaSamia2025 na maqquma wengine washapata mshahara ila watumishi bado.. Huu ni us×nge kabisa.
kwani tayari..?!Hahahaha leo mambo mufti utakula chapati kwa maini rosti
Nikajua kijijini mnakula na kusaza anyway kuna kazi ya kung'oa visiki kama utaweza unaweza pata chochote kitu kwa hizi siku ambazo unasubiri salary.Siku ya tatu leo nashindia mahindi ya kuchoma
Wameshakata makato yaoTuongee ukweli masaa haya tembei
Inabidi nitafute vijana 2000 wa kutembeza kahawa, haya maisha ya kusubiria mshahara, yanatuumiza sana.H
Nikajua kijijini mnakula na kusaza anyway kuna kazi ya kung'oa visiki kama utaweza unaweza pata chochote kitu kwa hizi siku ambazo unasubiri salary.
kwani huwa wakishakata makato, uhakikia wanalipa siku hiyo hiyo..?Wameshakata makato yao
Hapo ngoma usiku au saa tisa mda wa watu kutoka makazinWameshakata makato yao
Ndani ya masaa 24 .kwani huwa wakishakata makato, uhakikia wanalipa siku hiyo hiyo..?
maanake inaweza isiwe leo?Ndani ya masaa 24 .
Kama leo ni usiku sana .maanake inaweza isiwe leo?
Mkuu we ni ajira mpya, mbona unauliza sana maswali?kwani huwa wakishakata makato, uhakikia mshahara unaingia siku hiyo hiyo..?
hapana. sijui makato maana sidaiwi benkiMkuu we ni ajira mpya, mbona unauliza sana maswali?
masai dada niko na mdogo akokwani huwa wakishakata makato, uhakikia mshahara unaingia siku hiyo hiyo..?
Mhh watu kama nyie huwa hamchelwi kupiga slip za maboss zenu tena ukute ni mhasibu wa kampuni ili uwazugie watu mitandaoni...😅😅😅😅Stress? Kumbe unaona kama tuna stress? Weka slip ya salio la account yako bank namimi niweke yangu hapa halafu tuone nani ana stress.
😅😅😅🙌🏿Mhh watu kama nyie huwa hamchelwi kupiga slip za maboss zenu tena ukute ni mhasibu wa kampuni ili uwazugie watu mitandaoni...😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣masai dada niko na mdogo ako
Karibu kwenye public serviceHatimae na mm nipo huku, mkipata makato mnitag maana new comers hata kwenye ESS hatupo 😅