Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,183
- 103,048
UnatoboaNime bakiza 20k tu sijui kma natoboa
UnatoboaNime bakiza 20k tu sijui kma natoboa
Gold Tani?Maadamu tumeuza tani 30 za Au kwa waarabu na mpunga umeishaingia hazina, ni uhakika kwamba, wafanyakazi wote wa "serekale" tutawalipa mishahara na madai yao yote ijumaa 23/10/2026.
Source:
Fiscal disimbursement office
Ndiyo Tani 30 au kilo 30,000.Gold Tani?
Kibingwa sio?Unatoboa
Madhara ya kusoma soft science 😅🤣😂Ndiyo Tani 30 au kilo 30,000.
Madhara ya kusoma ngwini ndiyo hayo sasa. Hujui hata Tani ni kitu gani.
Mimi sijawahi kosa na uzuri mshahara unanikuta baaHuu huzi ni mimi na Poker ndio wahudhuriaji wakuu kwa miezi hii mitatu ya mwisho😅