Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mkuu huo ushauri uliotoa af if hawana mipango/budgeting... Jamaa amekujibu hivyo kwa sababu kuna watu wakiona issues ya ku demand mshahara utoke wao wana-term kama waajiriwa hawana mipango kumbe mipango wanayo ila wanautaka mshahara coz ni haki yao na ni moja ya mipango yao.
Mbona mmepanick jamani...fanyeni budgeting itasaidia kupunguza stress ndogo ndogo 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom