Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,638
- 9,740
Tatizo moyo
Tatizo moyo
Watu wapo busy wanataka hela zao huu uzi...😅😅poleni kwakweli mna hali mbayaTushapigwa vitatu.
Wanatupiga kama mbwa koko...
Ni jokes za watu ila hakuna uhalisiaWatu wapo busy wanataka hela zao huu uzi...😅😅poleni kwakweli mna hali mbaya
Hajui tunachangamsha genge tuNi jokes za watu ila hakuna uhalisia
Ili uzi uende basi maana kuna wengine hawapat sms mshahara ukitoka na ata hawajui kutumia app za bank wengi wanapata taarifa hapaHajui tunachangamsha genge tu
Nilikuwa natumia NMB mkuu huku CRDB ni mgeniWe mpaka hujui kitufe kilipo upo vizuri sana! Mi ukiingia kabla ya kufanya chochote navuta advance. Maana ni kama napokea nusu mshahara
Aiseee.... kesho ikipita patupu inabidi nifanye hivyo mkuuUsiombe leo salary Advance. Jivue dignity kaombe vyakula Dukani kwa Mangi.
Kesho uhakikaAiseee.... kesho ikipita patupu inabidi nifanye hivyo mkuu
Naomba unipe Elimu Mamdogo hili jambo libanitesa sana tarehe 15 hadi ifike tarehe 23 yaan kende zishakuwa nyekunduu kwa kubana aiseeehHivi mnashindwaje kupangilia hela zenu na vipaumbele vyenu...yani ikifika trh 20 tuu watu mmeshachoka vibaya mnoo
Crdb mpaka ujaze form bank ndio watakuwekea kipengele cha salary advance kwenye app yaoNilikuwa natumia NMB mkuu huku CRDB ni mgeni
Daah.. hali ni tete, ni kweli ess haifungui tupate japo tumainiWale wazee wa makato tayr,mfumo umeumana tangu jana hakuna tumaini lolote.
Hapana sikumaanisha wanaotaka hela zao wana hali mbaya huyo niliyemqoute ni shabiki wa Man united...ndo nilikuwa namwambia wana hali mbaya kwa kufungwa tena..Ni jokes za watu ila hakuna uhalisia
Shida nyie kina ba mdogo mnahonga mpaka akiba😅😅😅Naomba unipe Elimu Mamdogo hili jambo libanitesa sana tarehe 15 hadi ifike tarehe 23 yaan kende zishakuwa nyekunduu kwa kubana aiseeeh
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako
Kumbe ina bei..!! nilijua laki 5 hivi naweza chomoka nachoAcha tu kaka, wapuuzi wanauza Mil 1 ukibahatisha Laki 9. New. Labda used ndio Bei haieleweko