komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,413
- 2,096
Kwangu ESS haifungukiHivi makato yameshapita huko..?
Kwangu ESS haifungukiHivi makato yameshapita huko..?
Imefunguka mida hii nimecheki...makato tayariKwangu ESS haifunguki
Afadhali! Hapo leo LeoImefunguka mida hii nimecheki...makato tayari
Ngoja nisikilizie siku ya leo inaweza ikawa ya matumaini Mama akashare tabasam na watumishi wa ummaCrdb mpaka ujaze form bank ndio watakuwekea kipengele cha salary advance kwenye app yao
Dawa ya madeni ni kuyalipa yani hakikisha unalipa hata kidogo kidogonikifanikiwa kujinasua kutoka kwenye madeni yaliyonizunguka, nitaanza kusali
Ila kweli mshahara wa January unachelewa balaa
surelyDawa ya madeni ni kuyalipa yani hakikisha unalipa hata kidogo kidogo
SureHivi mshahara ukilipwa kama nimejiunga na simbank napata notification?
Mwezi ulopita nimesubr notification sikupataSure
Pakua app mda wowote una ona paleHivi mshahara ukilipwa kama nimejiunga na simbank napata notification?
Normally wanatuma. Hata hela yeyote ikiwekwa kwa account yako lazima Kuna notificationMwezi ulopita nimesubr notification sikupata
Nadhani mwezi uliopita kulikua na shida.. Mimi miezi yote huwa napata message but mwezi uliopita sikupata meseji yoyoteMwezi ulopita nimesubr notification sikupata
Ni mwendo wa ugali kachumbari 😅🤣😂Siku ya tatu leo nashindia mahindi ya kuchoma
Pole sana Mkuu upo wapiSiku ya tatu leo nashindia mahindi ya kuchoma
Unga umebaki robo tuNi mwendo wa ugali kachumbari 😅🤣😂
HahahahahaaSiku ya tatu leo nashindia mahindi ya kuchoma
Asante mkuu, nipo kwenye hichi kijiji cha jikwamueni.Pole sana Mkuu upo wapi
Hahahaha leo mambo mufti utakula chapati kwa maini rostiSiku ya tatu leo nashindia mahindi ya kuchoma