Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,737
- 9,097
Mzee wa CRDB nakuamini kwa update. Nikisikiaga crdb tayari from you huwa najisogeza maeneo ya vitu virefu!Kaka usiondoke, bado
Mzee wa CRDB nakuamini kwa update. Nikisikiaga crdb tayari from you huwa najisogeza maeneo ya vitu virefu!Kaka usiondoke, bado
Leo haipitiLeo nitaishije sasa mkuu?
Hapa nishacheki x100. Ujinga wa Android siwezi piga screenshotMzee wa CRDB nakuamini kwa update. Nikisikiaga crdb tayari from you huwa najisogeza maeneo ya vitu virefu!
Ngoja tusikilizie mpaka jioniLeo haipiti
Noma! Ila as long as Makato tayari Ngoma ni anytimeHapa nishacheki x100. Ujinga wa Android siwezi piga screenshot
Naogopa wasije kuhisi nataka niiteke bank na huyu mlinziKaka usiondoke, bado
Debe tupu!Kaa hivyo hivyo na mtazamo wako, we post Yako halafu niambie niambatanishe na chochote unachotaka ili uone na uamini. Ukitaka ID nitaweka, ukitaka passport nitaweka, namba ya simu uone usajili nitaweka, cheti Cha ndoa nitaweka, luku namba nitaweka, usajili wa ndinga nitaweka, ilimradi ukose pa kutokea na tuheshimiane mtaan hapa JF. Acheni kuchukulia watu kwa mawazo yenu na usiwe judgemental. Humjui yoyote humu, mkituona kwenye Uzi huu mnaona watumishi ni wachooovu hatuna ishu. Trust me tuna ishu
HahahahahaNaogopa wasije kuhisi nataka niiteke bank na huyu mlinzi
Jioni? Mchana unapitajeNgoja tusikilizie mpaka jioni
Au sioDebe tupu!
ni fedhehaWATUMISHI wapewe mishahara walipe madeni ya watu 😀😀😀
Magufuli alikuwa kichaa aliyejali miundombinu pekee na kusahau sekta zote nyetiMagufuli alozingua sana kutokuajiri unajua biashara ngapi zinasubiri hio mishahara ya WATUMISHI
Hao washapata toka jana mbona mzeeSo this time hakuna cha wanajeshi wala sungusungu kutangulia kupata salary
Seriously wamepata?Hao washapata toka jana mbona mzee
sisi wa TAMISEMI ndiyo wa kunyewa?