Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hapana jamani...shida hata mashamba siku hizi yanamilikiwa na matajiri na ndo wanafaidi zamani unajiendea kulima unalisha familia bila shida..elimu bure kila kitu kipo rahisi..ila zama hizi ni kutesa watoto tuu
Ndio mtoto akomae zamani watoto walikuwa wanategemea cha baba now watoto ndio wanategemewa na wazee wao na asipo saidia lawama
 
Back
Top Bottom