Kylor
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 524
- 1,376
Mwamba huyu hapaStress? Kumbe unaona kama tuna stress? Weka slip ya salio la account yako bank namimi niweke yangu hapa halafu tuone nani ana stress.
Mwamba huyu hapaStress? Kumbe unaona kama tuna stress? Weka slip ya salio la account yako bank namimi niweke yangu hapa halafu tuone nani ana stress.
We mpaka hujui kitufe kilipo upo vizuri sana! Mi ukiingia kabla ya kufanya chochote navuta advance. Maana ni kama napokea nusu mshaharaMaji yamefika shingoni watoto wanalala njaa..hivi kitufe cha salary advance kwenye CRDB kipo upande gani wajumbe??
Slip za nini tena mdau?Stress? Kumbe unaona kama tuna stress? Weka slip ya salio la account yako bank namimi niweke yangu hapa halafu tuone nani ana stress.
Pamoja mwana lunyasiHapa hapa Jukwaani...
Yes, 🦁 🦁
Sasa stress wanatupa Man United tuPamoja mwana lunyasi
Mi huko sio mshabiki sipati sana preshaSasa stress wanatupa Man United tu
Tushapigwa vitatu.Mi huko sio mshabiki sipati sana presha
Mshahara angalau utolewe tarehe 12 maana unaisha mapema kabla ya tarehe 15.Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Hapo tunaongea lugha moja sasaBasi riba itakuwa 50k hapo vipi?
Usiombe leo salary Advance. Jivue dignity kaombe vyakula Dukani kwa Mangi.Maji yamefika shingoni watoto wanalala njaa..hivi kitufe cha salary advance kwenye CRDB kipo upande gani wajumbe??
Hahahaa + mshaharaTushapigwa vitatu.
Wanatupiga kama mbwa koko...
Wewe ndio Mimi. Mshahara ukiingia tu, SA ndani ya masaa 24.We mpaka hujui kitufe kilipo upo vizuri sana! Mi ukiingia kabla ya kufanya chochote navuta advance. Maana ni kama napokea nusu mshahara
Na mafuta bei imepandaAIse kumbe siku mbili nyingi sana kwenye kusubiri hela.
Kesho nakosa mafuta ya kuendea kazini na leo nimekula michemsho tu