Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kuna uncle ameajiriwa mwezi wa 1 analipwa laki6 kwa mwezi anaweza kopeshwa kiasi gani kwa sasa
Swali lako ni gumu, maana sijajuwa kama ni ajira ya mkataba au la? Hana mikopo mingine hapo alipo? Na hadaiwi songesha kweli huyo?

Ila kwa kifupi anaweza kopeshwa mpaka 10milio kulingana na benki aliopo.
 
Eeh buda hii ndio ngoma ya maisha ya mjini kweli. Mshahara ukichelewa unakuta kila mtu anakuita "bado" hata yule uliyekopesha shilingi elfu tano. Mimi nilikua nimeanza kuweka tips za michezo kando ndio inapunguza presha kidogo, sijasema ni suluhisho kamili lakini inasaidia ku-chase madeni mpaka mshahara ufike. Subira tu mzee, hii hali itapita.
 
Back
Top Bottom