Inawezekana.
May salary slip ya May ilisoma increment
View attachment 3414975
June salary slip ikasoma daraja
View attachment 3414976
Ila pia mwezi huu naona deni la bodi ya mkopo limeshuka sanaa tofauti na salary slip ya mwezi wa 6 (makato ya mwezi wa 6)
Hivyo nasubiri mfumo uruhusu salary slip kutoka ili nijue neema imepatikana wapi ni daraja jengine au..!!!
😁😁😁😁
Ila kihalali niliajiriwa 2012 kwahiyo mpaka leo nilitakiwa kuwa nishapanda daraja mara 4.
Ila mpaka Magu anafariki nilikuwa nimepandishwa mara 2.
Hivyo nilishawahi kuandika barua kulalamika mara 4..!! Na kila nikipata fursa ya kwenda semina/kikao Dodoma ilikuwa lazima nipite utumishi kulalamika.
Nadhani malalamiko yamejibu.
Yaani nilikuwa nawadai serikali ya CCM madaraja mawili..!!!
Hivyo mimi nilikuwa na sifa ya kupanda madaraja kimsereleko.
#YNWA
#YANGA_BINGWA