Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

1.Kua Kila mtu anaweza kufanya biashara na biashara yake ikakua?
2.kua biashara haina hasara,ukifanya tu unafanikiwa?
3.kua wote wenye mishahara wanaweza biashara?
Mkuu utajipa pressure bure....we tusubiri hela yetu tu, wengine wana-stress zao...
 
Samahani kwa kutumia lugha ngumu ,ukitumia lugha ngumu yenye ukweli na inayokera huwa inaeleweka na kukaa akilini vizuri.

Mwananchi mwenzangu hata mimi nilipitia hiyo hali ya kutegemea salary ila nikajiongeza kupata kipato nje ya mshahara ikanisaidia sana ,sasa hawa WEHU ukiwaambia kwamba watafute other source wanaanza kuleta MATUSI.
Mtu kama umeamua kumsaidia ila hataki msaada wako jambo la busara ni kuachana nae, hum ndani kila mtu anakula kwake
 
Unajuaje hayo makato, mbona salary slip hazitoki??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unaangalia salary slip ya last month, angalia outstanding balance ni ngapi.
Screenshot_20260723_210012_Adobe Acrobat.jpg

Kisha nenda kwenye e-mkopo, angalia tena outstanding balance ni ngapi.
Screenshot_20260723_210217_Chrome.jpg

Mpaka unaona kabisa wameshachukua chao cha mwezi huu.
 
Maswali yako nilishajibu hapo juu.

Kuwa na kipato tofauti na mshahara ni bora hata kama ni elfu 50 tofauti na kutokuwa nacho kabisa.

Assume huyo mwenye mshahara wa laki 4 kama asingekuwa na hizo source 8 ambazo zinamuingizia laki 6 angeishi vipi?

Hapa logic tunayozungumzia kulia lia mshahara umechelewa ,kama unapata 1.2m na inafika hadi mwihso wa mwezi mwingine na kukutana na mshahara mwingine hapo ni safi ,na watu kama hao hauwezi kukuta analilia mshahara umechelewa.

Wanaolilia maana yake mshahara umekwisha halafu hana source nyingine ya kupata kipato mpaka mshahara uingie ,hapo lazima alielie kwamba mshahara umechelewa ,kuna watu hata mshahara haangalii yeye anapiga kazi tu ,mshahara unaweza kuingia tarehe 23 yeye akaenda kutoa pesa tarehe 31 maana bado ndani ana petty cash ya kumsukuma.
Mkun...du wako hatutaki ushauri wako
 
upo sahihi kwamba ni vizuri kuwa na side hustle ila uhalisia ni kwamba watu wamekula loss nyinhi sana kwenye side hustle. Kuna watu walinunua vibodaboda lakini wakadhulumiwa marejesho. Ni rahisi kuizungumza ila kutekeleza sio jambo rahisi
 
Back
Top Bottom