Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Tatizo la baadhi ya watu humu ni kujifanya wajuaji, kila uzi wao wamo tu. Huu ni uzi wa kupashana habari za monthly salary kwa wahusika tu. Sasa unakuta mtu hahusiki ila anataka kuleta ligi ligi za kijinga. Kwani mmezuiwa kuanzisha uzi wa wachuuzi?
Achana nao mkuu. Sisi tubaki kwenye topic.
 
Leo ni bila bila,kesho nazima simu mpka saa saba hivi nikifungua nisipokutana na Sms ya ,KIASI CHA..... itakuwa maumivu
 
Kwenye context ya hapa - kutoboa ni kwamba mishahara inakutana,yaani kabla wa mwanzo haujaisha mwingine ushaingia.....Lets assume unachukua mlio ambao umeingizwa tar 23 June ,unasonga nao hadi kufikia tarehe 23 July bado kuna hata vilaki na ushehe bado vipo vinapumua.
Sio kila mtu amini kile unachoona wewe sahihi.
Sio lazima wotee tuwe na Side hustle.

Wapo wanaotegemea mshahara tu na unawatosha kabisaaa.

Yaani hizo kopakopa ambazo wewe unazishangaa yeye kwake ni MAISHA YA KAWAIDA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sawa mkuu ,umeeleweka ,ngoja tuone kesho kama miamala itasoma.
 
Kwani makato yakishapita hizo zilizobaki ambazo zinakuja kwenye Account zinakuwaga wapi wakuu!? Bank au Hazina au nini yaan maana sielewi elewi kabisa m!!
 
Kwenye context ya hapa - kutoboa ni kwamba mishahara inakutana,yaani kabla wa mwanzo haujaisha mwingine ushaingia.....Lets assume unachukua mlio ambao umeingizwa tar 23 June ,unasonga nao hadi kufikia tarehe 23 July bado kuna hata vilaki na ushehe bado vipo vinapumua.
Wewe umetokea wapi kwenye uzi huu,inshort una bore,tuliza ushauri
 
Nyie ndio wale wanaume wapumbavu washamba wa mapenzi, yaani unatumia 200k kupata utelezi ambao wenzako wanamla huyo demu kwa chips kavu na soda na wengine wanamla bure na nauli anajilipia.
Wewe bado mtoto utakuwa umebalehe juzi.
Mbona povu linakutoka? Mtu hela yake mwenyewe unampangia matumizi wewe kama nani? Au unataka hiyo 200k upewe wewe?
 
Mkuu kwenye mashirika tyme apply sanaa, hatimae tupo huku w

Je mkufunzi wa Veta na wale wa fdc ngazi ya diploma wenyewe scale yao ipoje?
Halafu VETA juzi walitangaza ajira kibaoo ajira portal.
Kwa wewe ambaye tayari ni mwajiriwa inakuwa kama Transfer.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
“Mishahara haikutani aisee, zinapishana tu kama treni. Sisi tunaendelea kuhesabu siku. 😅”UZI KAMA HAUKUHUSU PITA KULE
 
Back
Top Bottom