Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,541
- 127,853
Yaani.Gen Z wanakuwa na hasira sana
Na hiyo ndo tafsiri ya ukomavu kiakili na kifikra pia, ukiona mtu mitandaoni tu anashupaza shingo kwa jambo dogo unamfikiria je kwenye maisha ya kawaida nje ya jf anakuwaje huyo., yes ukiambiwa kitu unakichuja ,mazuri unachukua ,mabaya unaacha ,JK alisema cha kuambiwa unachanganya na zako ,ila hawa Gen Z wao ni MATUSI tu!!