Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Pesa inabidi iingie leo. Mtaani kila mtu ananidai. Mwenye nyumba, mangi, sungusungu, wabeba taka, saluni, bodaboda, bucha, gengeni, wakala, muuza gesi, hadi mchepuko.
Sasa mdogo wangu hapo ikiingia tu si ishaisha!
 
Mbona kimya humu au mmeshalamba asali mtupe kampani na sisi tuliosahaulika
 
Back
Top Bottom