Sio ess?Salary slips zimeshatoka ingia MOF uangalie.
Sio ess?Salary slips zimeshatoka ingia MOF uangalie.
Kabeeeeesssssaa. 💃💃
ESS kuna muda hua wanachelewa kuweka. MOF wameweka salary slip toka JumapiliSio ess?
Hizo zimetoka muda sana tangu jana tatizo hela hakunaSalary slips zimeshatoka ingia MOF uangalie.
Alikua anataka kujua kama kuna ongezeko ndo nikamwambia aangalie salary slip hakuna haja ya kusubiri adi salary itoke ndo ujue kama kuna ongezeko ama hakunaHizo zimetoka muda sana tangu jana tatizo hela hakuna
Salary slips zimeshatoka ingia MOF uangalie.Vipi mliopata kuna ongezeko
WoteCRDB ni mimi tu au ...
Nashindwa kuelewa
Tupo wengi mkuu... hapa kwetu watu wa NMB washatangulia viti virefu.CRDB ni mimi tu au ...
Nashindwa kuelewa
Kwa vichwa hivi vya wabongo crdb wajipange kukimbiwa na baadhi ya watumishiHii benki ya kijani ina shida ganj
Crdb jauKwa vichwa hivi vya wabongo crdb wajipange kukimbiwa na baadhi ya watumishi
Mapema sana...sasa hawa crdb wanashida gan tenaTupo wengi mkuu... hapa kwetu watu wa NMB washatangulia viti virefu.
Crdb jau sana kama mifumo imecheza wasemeMapema sana...sasa hawa crdb wanashida gan tena
Imeingia saa ngap??CRDB tayari...nimepokea
Hamna kituCRDB tayari...nimepokea
Saa ngapiCRDB tayari...nimepokea