😅😅😅 DahhhHapa leo saa 11 tu niende kigoma town hawa wahudumu wa uku miyobozi bia zao za moto kwanza hawana viuno
Mbona tayari tangu asubuhi,Oya wakuu hivi seriously hawa NMB salary haiingii na leo?
Karibu mzee mi nipo nyumbani park hapa kila mda naenda maweni kuchungulia ila naona bila mhudumu naona ananikadilia tu navyo toka anajua naenda mazima😅😅😅 Dahhh
Kwangu badomkuu vip mshahara umeingia ajira mpya?
Mwenzio kakukuta 76kTayari NMB il kuna hela imezidi sijui imetokea wap
Dah wanawekaje hiz salar mbn mm bila bila ad saizNMB wamenikumbuka hapa 🔥🔥
Hahahaha Nyumbani park mwambie Gerald hapo unasubiria muamala huku unaendelea kupiga vyombo..Karibu mzee mi nipo nyumbani park hapa kila mda naenda maweni kuchungulia ila naona bila mhudumu naona ananikadilia tu navyo toka anajua naenda mazima
Hahahaha Nyumbani park mwambie Gerald hapo unasubiria muamala huku unaendelea kupiga vyombo..Karibu mzee mi nipo nyumbani park hapa kila mda naenda maweni kuchungulia ila naona bila mhudumu naona ananikadilia tu navyo toka anajua naenda mazima
Hahahaha Tukutane Break point mwembetogwaaHapa leo saa 11 tu niende kigoma town hawa wahudumu wa uku miyobozi bia zao za moto kwanza hawana viuno
Yule ni wa crdb,mi nipo nmbMwenzio kakukuta 76k
Angalia saalio huenda message hujapataSaa 4:14 Jioni hii sijapata Salary🤔
Leo hapa nipo kuvuliwa nguo maana naona mambo bado bila bila sijui kuna niniHahahaha Nyumbani park mwambie Gerald hapo unasubiria muamala huku unaendelea kupiga vyombo..
hawana. na kwenye social media zingine wamefunga comments ili tusiwauluzeHiv nmb hawana acount humu tukawatag 😒😒
Nina APP yao hamna kitu, Hawa jamaa nilishataka kuwahama, sema tu process naona ni ndefu😏Angalia saalio huenda message hujapata