Kwa nini unamuuliza kama kapata mshahara? Au huo mshahara wa mke wako ndio ulikuwa unaendea kulipa madeniMShaara wake ni kwaajil ya mambo yake mim ndo nalipia bills zote
Ngese kabisaCRDB mzigo tayar tangu saa 4:30
Mimi hii ada ya July...nalipa nusu aisee..watanidai, unaweza kushindwa kula vizuri kisa adaNMB naona leo wamenikumbuka, Huwa napata wa mwishomwisho, Sina hata mzuka sababu nikifanya kidogo tu, madogo Julai shule hawaendi.
Ni yeye, anamsingizia tu mkeKwa nini unamuuliza kama kapata mshahara? Au huo mshahara wa mke wako ndio ulikuwa unaendea kulipa madeni
Mkuu shikamoo nisaidie 50000 ya nauli naenda shuleNMB naona leo wamenikumbuka, Huwa napata wa mwishomwisho, Sina hata mzuka sababu nikifanya fujo kidogo tu, madogo Julai shule hawaendi
Ngese kabisaCRDB mzigo tayar tangu saa 4:30
Inabidi uwapeleke kayumba ili uweze kula vizuriMimi hii ada ya July...nalipa nusu aisee..watanidai, unaweza kushindwa kula vizuri kisa ada
Ananiambia sio namuulizaKwa nini unamuuliza kama kapata mshahara? Au huo mshahara wa mke wako ndio ulikuwa unaendea kulipa madeni
Uku umefata nini ushacover topic za advanced chemistry zote?Mkuu shikamoo nisaidie 50000 ya nauli naenda shule
Mkuu toa hapo hata ka laki ukajipongeze! Elimu haina mwisho ndugu 😁NMB naona leo wamenikumbuka, Huwa napata wa mwishomwisho, Sina hata mzuka sababu nikifanya fujo kidogo tu, madogo Julai shule hawaendi
Mkuu mwezi wa 12 nakuja unipigishe PolymerUku umefata nini ushacover topic za advanced chemistry zote?
Mm nafundisha kiswahili na historyMkuu mwezi wa 12 nakuja unipigishe Polymer
Huyo Siyo mke. Nakushauri fukuza kabisa tafuta mwingine.Nisipopata hela leo, mke ananikimbia, amechoka kula majani
Tatizo halikimbiwi mkuu, suluhisho ni kupata hela tu, vipi mshahara bado haujatoka?Huyo Siyo mke. Nakushauri fukuza kabisa tafuta mwingine.