No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,378
- 13,452
NMB wamepata...Kwamba NMB wao sio tetesi?
NMB wamepata...Kwamba NMB wao sio tetesi?
Mimi ni NMB ila bado mzigo haujasomaNMB wamepata...
Ndio hili ninalosema mtu hayupo NMB lakini anavyoongea utadhani kaonaMimi ni NMB ila bado mzigo haujasoma
Yeah, jioni au kesho asubuhi mambo yatakuwa poaMpaka hapo ishachelewa
Kesho tena duhYeah, jioni au kesho asubuhi mambo yatakuwa poa
Punguza unyanyasaji mkuu. 😁😁- huu ndio muda wa kuwagonga mademu waajiriwa kwa offa za michemsho,supu,chapati,nauli,lunch, dinner, beers 🍻
Sio unyanyasaji wote tuna-gain utamuPunguza unyanyasaji mkuu. 😁😁
Haya nenda kale Hela ya mkeo mariooNMB tayari wife ameekewa
Taasisi nilipo NMB wamepata...Mimi ni NMB ila bado mzigo haujasoma
Mkuu kazini si tupo watumishi wengi...au kama upo kweny vikund vya hisa vya taasisi utaona fujo tu hela ikiingia...kikubwa wameanza kuwekaNdio hili ninalosema mtu hayupo NMB lakini anavyoongea utadhani kaona
HahahBado, nipo chini ya mti hapa karibu na atm
Subiri apate salary kwanza kisha umtafute.Sio unyanyasaji wote tuna-gain utamu
Mfukoni Umebaki na 500 au 1000? 😁Kesho tena duh
kwa Siku hiyo ya mshahara hata menu ya chakula cha mchana ofisini inabadilika, watu wanaacha ugali dagaa na kuanza kuagiza "kuku nusu" au chips kuku, wengine utasikia naomba nyama choma.Mkuu kazini si tupo watumishi wengi...au kama upo kweny vikund vya hisa vya taasisi utaona fujo tu hela ikiingia...kikubwa wameanza kuweka