Hamna kitu mkuu au wanaweka kwa mafunguNaona CRDB leo wameweka bila meseji
itakuwa hivyo mi nimeangalia Salio mzigo tayariHamna kitu mkuu au wanaweka kwa mafungu
Hahahaaa. LolMimi hii ada ya July...nalipa nusu aisee..watanidai, unaweza kushindwa kula vizuri kisa ada
Tutajikaza tu japo watakuwa wametuharibia programs zoote.Nyie siku mkija ingiziwa salary tarehe 29 sijui itakuwaje huko maofisini 😆 🤣
Dooh.Sisi bakabaka tumeshasahu kabisa kama tuliwekewa lini.
Pole Mkuu.Huenda NMB nimebaki pekee yangu ambaye sijapata
Labda sisi wacheleweshwaji wanatuongezea vitita vya madaraja 😆Hamna kitu mkuu au wanaweka kwa mafungu
Itakuwa msimamizi wako alikuzingua kwenye PEPMS,Hv inakuwaje wengine wanapanda madaraja wengine hatupandi?
Asante sana.Pole Mkuu.
😂😂CRDB bank takataka
Mimi crdb mpaka sasa badoHivi mimi wananichezeaga au
Ila nchi upuuzi sana.. Inakera sana.Itakuwa msimamizi wako alikuzingua kwenye PEPMS,
Pepmis iko sawa? Mchek HR wako akupe maelezoHv inakuwaje wengine wanapanda madaraja wengine hatupandi?