Utajiwe ili iweje..Yani mtu secretary alipwe 3m eti kisa taasisi, na taasisi zenyewe hawazitaj wanatuona sisi sijui wapumbavu
Taasisi wanazolipa vizur zote tunazijua na tunajua wanalipaje pia
Muanze kuropoka hovyo kwamba watu fulani wanalipwa zaidi ya unacholipwa.