Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

kama wewe kwa mwezi take home yako haifiki 1.7+ M .. usimcheke wa tamisemi.
Mwenye hii take home Kwa tamisemi ni principal officer
Mdogo wangu kaajiriwa kwenye taasisi Fulani analipwa 2.9m basic, anapata extra duty 1.02m, housing allowance 500,000/, communication allowance 100,000/-, transport 400,000/- lakini Bado na yeye analia mshahara ukichelewa.
 
Salary slip yake umeshawahi kuiona?...hizo incentives kubwa kubwa kwa hii gavoo...sijui tu
 
Mwenye hii take home Kwa tamisemi ni principal officer
Mdogo wangu kaajiriwa kwenye taasisi Fulani analipwa 2.9m basic, anapata extra duty 1.02m, housing allowance 500,000/, communication allowance 100,000/-, transport 400,000/- lakini Bado na yeye analia mshahara ukichelewa.
Hizi History za vijiweni
 
Back
Top Bottom