Kenge la maadui endelea kuchukua data ChatGTP.Hakuna siri ww kiaz kila taasisi inajulikana inalipaje salary scale hata CHATGTP zipo za kila taasisi
Kenge la maadui endelea kuchukua data ChatGTP.Hakuna siri ww kiaz kila taasisi inajulikana inalipaje salary scale hata CHATGTP zipo za kila taasisi
Na hapo ukumbuke ni baada ya Magufuli kupiga pini, ila bado jamaa wanapiga mkwanja mrefu.Mbona inafahamika, kuna Taasisi ambazo zinatumia mapato yanayokusanywa kujipangia viwango vya mishahara tofauti hasa kupitia Bodi za wakurugenzi wao.
Ila sioni kama hiki kitu kinaweza kudumu miaka 10 mbele.
View attachment 3613259
ChaiMshahara wa ofisa wa latra anayeanza kazi ni 2.7m+
Bakabaka Jr maofisa pia wako vizuri sana
Endelea kuwadanganya washamba wenzioKenge la maadui endelea kuchukua data ChatGTP.
Baka baka😅😅😅Mshahara wa ofisa wa latra anayeanza kazi ni 2.7m+
Bakabaka Jr maofisa pia wako vizuri sana
Huu uzi unachai nyingBaka baka😅😅😅
Baka baka mishahara haina tifauti na TAMISEMI.
Mimi nina jamaa zangu wengi tu bakabaka.
Tofuti posho. Wanalipwa posho ya nyumba na pesa ya vinywaji laki moja kila.mwezi ambayo wanapewa laki 3 kila baada ya miezi 3.
Sawa kenge la maadui.Endelea kuwadanganya washamba wenzio
Ndio maana vithibitisho ni muhimu.Huu uzi unachai nying
Diploma aliyepo Tamisemi CO,ANO wanapokea entry level TGHS B laki nane na 60+ hafiki laki 9,MD wa Tamisemi anapokea TGHS E 1.6M+ basic.Diploma wa taasisi CO,ANO anaanza na PMGSS 4.1 ni 1.2M+ basicInakuwaje Daktari wa taasisi apokee 2.1M, halafu Diploma apokee laki 9?
Kuhusu viwango vya TAMISEMI umesema kweli.Diploma aliyepo Tamisemi CO,ANO wanapokea entry level TGHS B laki nane na 60+ hafiki laki 9,MD wa Tamisemi anapokea TGHS E 1.6M+ basic.Diploma wa taasisi CO,ANO anaanza na PMGSS 4.1 ni 1.2M+ basic
Duuuuh kajisemea na Dotto magari "jmn jmn tusome jmn"Aibu utaona weweee nimekuwekea Salary Scale kuwa ni PMGSS 4.1 kiasi chake ni almost 1.2M+ wapi nimeandika ANO anapokea 4M?Kuhusu viwango vya TAMISEMI umesema kweli.
Ila kuhusu Diploma na taasisi siyo kweli.
Nina jamaa yangu anafanya kazi MOI, Diploma hafikishi hiyo basic entry level, labda kama akipanda cheo.
ANO milioni 4🤣
Kwahyo source ya mishahara serikalin sio salary scale ni jamaa zenu?Kuhusu viwango vya TAMISEMI umesema kweli.
Ila kuhusu Diploma na taasisi siyo kweli.
Nina jamaa yangu anafanya kazi MOI, Diploma hafikishi hiyo basic entry level, labda kama akipanda cheo.
ANO milioni 4🤣
Anyway, nitaamini ukiwepo ushahidiDuuuuh kajisemea na Dotto magari "jmn jmn tusome jmn"Aibu utaona weweee nimekuwekea Salary Scale kuwa ni PMGSS 4.1 kiasi chake ni almost 1.2M+ wapi nimeandika ANO anapokea 4M?
UnasemaHizi ni stori za vijiweni bana.
Mishahara ya serikali haizidi milioni 3 kwenye mfumo rasmi, ukiacha na watu wachache sana wanaopata mishahara binafsi.
Hata Mbunge hazidi milioni 5.
Kinacholeta tofauti ni POSHO na ALLOWANCE
Payslip ndio source halisiKwahyo source ya mishahara serikalin sio salary scale ni jamaa zenu?
Maana humu kila mtu akitaja mshahara wa taasisi fulani anasema nina jamaa yangu
Tunaamimi vipi hao jamaa zenu? Wanaonesha salary slip zao?
Au mm ndo sina jamaa popote
Mwambie umepoteza wallet ilikua na hela na card zote 😁Sema ni kushua najua hakosi elfu 10 kwenye pochi. Tatizo sound gani naingia nayo?
Weka retiremnet year tuoneUnasema
Huyo jamaa kakaribia kustaafu halafu bado basic inasoma 2.3 ana hasira mbayaUnasema
Ndio maana nikaweka na Salary scale yake hapo unaweza kuzitafuta den ukacompare at your time kuproveAnyway, nitaamini ukiwepo ushahidi