Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,326
- 5,374
Ila uzi wa mishahara ya taasisi si upo wakuu mnaonaje mkienda kule kudiscuss
Kwa sisi wanajeshi umetokaHizo mambo za scale posho pelekeni uzi wenu huko bata ninyi!!🖕
LENGO LA UZI MZIGO UMETOKA/HAUJATOKA
Ila serikali ina mataasisi mengi hadi basi.Huu Uzi ubadilishe kichwa, usiwe January uwe mishahara ya wafanyakazi wa serikali na taasisi zake
- hawalipi degree wanalipa taaluma sasa hapo umeandika nini? Hiyo pesa inazidi nusu ya mshahara wako hapo tamisemiHawalipi degree, wanalipa taaluma pesa kidogo sana.
Degree inakusaidia kwenda kozi.
Mfano, degree kama afya yako inaruhusu unaweza kwenda kusoma nyota moja. Hiyo nyota moja ndio ina mshahara.
Mfano, kuna jamaa yangu alikuwa analipwa laki 5 tu, baadaye akaenda kikozi cha MP, ikaongezeka 35,000 tu ya hicho kikozi.
Ili mradi mhudumu harudi rudi kudai bili we sogeaNisogee kabisa Bar mkuu sio
Kwani Tamisemi mnatuchukuliaje nyie majamaa?- hawalipi degree wanalipa taaluma sasa hapo umeandika nini? Hiyo pesa inazidi nusu ya mshahara wako hapo tamisemi
-
Mfano, umesoma development studies?- hawalipi degree wanalipa taaluma sasa hapo umeandika nini? Hiyo pesa inazidi nusu ya mshahara wako hapo tamisemi
-
Sawa tajiriMods Hebu futeni huu uzi.!
Jitu linatumwa Eti linaona shida kucheleshwa mshahara.! Nyambaf kabisa
Huu uzi una element za umasikini wa hovyo kuwahi kutokea nachukia kila ninapouona.!
Ni kama shoga anabong'olewa anaona kwanini hawa lipi siku hizi
Hebu futeni
Utazibwa pancha dada kwenye hilo kalio lakoMods Hebu futeni huu uzi.!
Jitu linatumwa Eti linaona shida kucheleshwa mshahara.! Nyambaf kabisa
Huu uzi una element za umasikini wa hovyo kuwahi kutokea nachukia kila ninapouona.!
Ni kama shoga anabong'olewa anaona kwanini hawa lipi siku hizi
Hebu futeni
Stress zitakuua kubbkoMods Hebu futeni huu uzi.!
Jitu linatumwa Eti linaona shida kucheleshwa mshahara.! Nyambaf kabisa
Huu uzi una element za umasikini wa hovyo kuwahi kutokea nachukia kila ninapouona.!
Ni kama shoga anabong'olewa anaona kwanini hawa lipi siku hizi
Hebu futeni
Mtumishi wa umma unatukana watu , kubbke.Ila nyie Jf administration sasa inatakiwa mnipe mandate itakayoniwezesha mimi kuwa-ban watu wasiohusika kwenye huu uzi... huu uzi ni wa updates za kutoka mshahara... Mambo ya ya wewe kulipwa milioni 2+ hayatuhusu pelekeni usenge we huko.
Hata mie Sielewiiiii.......Nashindwa kuelewaa...nashindwa kuelewaa
We Maku hakuna rijali anayependwa kutumwa. Note.!Stress zitakuua kubbko
Umelewa? Hasira zote za nini Sasa!We Maku hakuna rijali anayependwa kutumwa. Note.!
Kutumwa ni ajali ya muda kuona unajipataje
Ukiona mshahara unakunyima raha maana yake wewe ni limbukeni wa mafao
Hamjui kujitegemea wewe na Mbwa wanzako kama wewe