Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

  • kwa hiyo unataka kubisha?
  • unafikiri mishahara na posho kwenye utumishi wa umma vinafanana?
  • kuna taasisi officer Jr salary scale ni hiyo 2.9m.
  • Tafuta exposure, kuna taasisi wanalipa extraduty 1.8m per month
Endelea kusimliana na mdogo wako acha uongo eti mdgo kenge wewe
 
  • Nimeiona alikuwa anakaa kwangu alivyoanza kazi mwaka2022 sasa hivi kajenga nyumba Kerege - bagamayo pale
  • incentive hizo mbona ndogo sana, kuna taasisi wanalipa extraduty allowance 1.8m
Mkuu JF wajuaji sana wala usiumize vidole vyako, watu wanafarijiana tu though ni kweli Kada za TAMISEMI nyingi hawapishani sana.

Yaani hii nchi kuna watu wanakula mema.
 
Kwa Take home ya 700k nielekeze namna ya kununua kiwanja hadi najenga mkuu bila kukopa!? Au nafanya uwekezaji upi mkubwa bila kuoingia ESS!?
kuna wakati nilikuwa nalipwa mshahara wa laki 6. kwa wakati huo nilijichanga nikafanikiwa kununua kiwanja changu cha kuanzia maisha.
Leo isipite
kijana wangu wa Ofisi ya Hazina kaniambia tutulize boli. mzigo utaingia tarehe 23
 
Back
Top Bottom