ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,764
- 5,590
Acha kugongwa na mshahara ni UfalaUmelewa? Hasira zote za nini Sasa!
Acha kugongwa na mshahara ni UfalaUmelewa? Hasira zote za nini Sasa!
Wewe inakuhusu nini, sisi masikini tukisubiri mshahara wetu na kujichangamsha hapa, wewe unawashwa wapi?Acha kugongwa na mshahara ni Ufala
Sasa ndio uwe na adabuWewe inakuhusu nini, sisi masikini tukisubiri mshahara wetu na kujichangamsha hapa, wewe unawashwa wapi?
HahahaSasa ndio uwe na adabu
Sio unacheleweshwa kidogo tu Dera mkononi mtabakwa.! Mbwa nyie
CRDB TAYARI MKUU?Huku kwenye uchawa mzigo ushatoka, nishakomba kila kitu.
CRDB washenzi ukiacha elfu 50 ndani ya masaa 24 hukuti kitu . Ukivuta statement kuna miamala hawaandiki pesa imeenda wapi.
Wanasema tu imelipwa.
View attachment 3613459
Mimi imesoma nimeivuta tigo pesa chapCRDB TAYARI MKUU?
Ngoja tusubiri...pengine zimeanza kusomaMimi imesoma nimeivuta tigo pesa chap
Imeingia mida ganHuku kwenye uchawa mzigo ushatoka, nishakomba kila kitu.
CRDB washenzi ukiacha elfu 50 ndani ya masaa 24 hukuti kitu . Ukivuta statement kuna miamala hawaandiki pesa imeenda wapi.
Wanasema tu imelipwa.
View attachment 3613459
Tayari?CRDB TAYARI MKUU?
Mi badoNgoja tusubiri...pengine zimeanza kusoma
Simple and clearHizo mambo za scale posho pelekeni uzi wenu huko bata ninyi!!🖕
LENGO LA UZI MZIGO UMETOKA/HAUJATOKA
Me nadhani ishaisha hadi keshoMpaka sasa kwangu ni nyau nyau
Kbbako and kmmkoWe Maku hakuna rijali anayependwa kutumwa. Note.!
Kutumwa ni ajali ya muda kuona unajipataje
Ukiona mshahara unakunyima raha maana yake wewe ni limbukeni wa mafao
Hamjui kujitegemea wewe na Mbwa wanzako kama wewe
Sawa MakeboKbbako
Unaharibu mazingira kwa kutujazia maelezo yasiyo na kichwa wala mataco yako
Hamna kitu, famba hilo, hebu tuonyeshe tarehe na mudaHuku kwenye uchawa mzigo ushatoka, nishakomba kila kitu.
CRDB washenzi ukiacha elfu 50 ndani ya masaa 24 hukuti kitu . Ukivuta statement kuna miamala hawaandiki pesa imeenda wapi.
Wanasema tu imelipwa.
View attachment 3613459