wajingawatu. πCrdb imetema jioni hii.
Yaaani. Waje watugee sisi sote ni ndugu moja kwenye hii familia ya Jeiefu.WALIMU AWAMU HII WAMEJIPATA HAWANA NJAA KABISA
Mwezi uliopita ilikua ni kimya kimya sijui mwezi huuNMB wangese sana,mshahara unaingia kimya kimya bila sms.
Imetema mimba au makohozi?Crdb imetema jioni hii.
Hahahaaa wewe si unazo unamalizia za mitihaniAhsante kwa kunidolishia. ππ
Yaani. Kwa kweli tuvute subira.
Za mitihani wapi ndugu mi nachamsha genge tu hapa. πππHahahaaa wewe si unazo unamalizia za mitihani![]()
![]()
Yeah Ijumaa kesho kutwa tu maji yanamiminika.
Baada ya walimu kupata hela za mitihani na Mad Max kujipata kimaisha imefanya uzi hauna vibe kabisa... Ni huzuni kwa kweliZa mitihani wapi ndugu mi nachamsha genge tu hapa. πππ
Wacha tusubiri hiyo ijumaa. Na ifike jamani. Lol.
HahahahahaaJana nilikua tanga mjini, this week ntakua korogwe na mshahara nahisi utanikuta huku
Bado masta. Ila leo au kesho uhakika.Wakuuu vp huko? Leo nimetembea kwa miguu mpaka kizunguzungu. Huu mchana nimegongea chakula cha shkamo kwa masela, mtaani nadaiwa kila kona.
Kuna kila dalili ya kulala machakani na kifurushi leo ndio kinaisha.
Na kitita ushakimaliza kabla hakijafika.Wiki yetu hii.
Kinasoma negative wakati sijakitia mkononi....Na kitita ushakimaliza kabla hakijafika.