Inatakiwa ikatwe ndo uchukue Tena mambo si mazuri kwa groundClick salary advance hapo. Vuta mpunga. ☺️☺️☺️
Yeah, ni balaa sana salary advance ni sawa na kilevi tuInatakiwa ikatwe ndo uchukue Tena mambo si mazuri kwa ground
🤣🤣🤣😁😁😁 Ukiingia kwenye salary advance nisawa na mtu kaingia kwenye ulevi.Yeah, ni balaa sana salary advance ni sawa na kilevi tu
Mwezi ujao uzi utaishi maisha marefu sana kwa nature ya julaiUzi umefungwa na kutelekezwa vibaya tukutane 20/7/2025.
Hapo watumishi( watumwa) wanalewa leo .baada ya wiki mbili wanaanza kulia njaa
Hakika mwezi wa saba ni mgumu hapo hadi tarehe 25/7Mwezi ujao uzi utaishi maisha marefu sana kwa nature ya julai
Hii ndo yenyewe 1 ya 3 ndo mpango🤣🤣🤣🤣Huwezi kuwa mtumishi wa uma alafu huna 1/3 mkuu itoshe kusema wewe ni tajiri mimi ningerudi bank kutafuta heshima sipendi kabisa mikato miwili kwenye mshahara mmoja
Kada gani hiyo mpaka Sasa, hujapewa salaryKumbe ni sisi tu ndo hatujapata wenzetu mmepata kumbe ....nkisema nipitie nione kama ni kote kumbe ni sisi tu🥹🥹🥹🥹🥹
Inawezekana lakini. Kila mmoja anajua yanayovuma upande wakeKada gani hiyo mpaka Sasa, hujapewa salary
Tumepewa leo mkuu acha tu yaniKada gani hiyo mpaka Sasa, hujapewa salary
Huko ni balaa sana, unaweza kulala njaa kama huna vitega uchumi...Inawezekana lakini. Kila mmoja anajua yanayovuma upande wake
Fanyeni reform hiyo sekta 😁😁.Tumepewa leo mkuu acha tu yani
Aisee, mnateswaTumepewa leo mkuu acha tu yani
Mkuu na huku unatuvuta? Tupumzishe mpaka Julai 20 😆😆😆Muda wa salary advance huu