The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,001
- 2,360
Hii 35% ni Kwa Kila mtu au walio chini ya 500,000?Am out heređź‘‹
Tuonane July na 35.5%
Hii 35% ni Kwa Kila mtu au walio chini ya 500,000?Am out heređź‘‹
Tuonane July na 35.5%
Walio chini ya 500000/Hii 35% ni Kwa Kila mtu au walio chini ya 500,000?
Duhhh, mpigie sa100, 07123456789Weeeh mbona kwangu bado!!!
Walio zaidi hawajaongeza chochote kitu?Walio chini ya 500000/
Mkuu kwa hii unadhani watultu wenye basic yaWalio chini ya 500000/
Nyie hamstahiliWalio zaidi hawajaongeza chochote kitu?
Hata saivi Mkuu, kuna watu wamepanda mwezi wa tano (nina ushahidi) na pia hata saivi ( mwezi huu wa sita) watu wamepandaDaraja ni mwezi wa saba labda kama ulijiunga na utumishi mwezi wa sita.
Utofauti ni 70-100k.Watumishi wa umma kwani daraja moja ni sawa na sh ngapi?
Mimi sio mtumishi
Mzunguko wao ,mimi napanda wa tisaHata saivi Mkuu, kuna watu wamepanda mwezi wa tano (nina ushahidi) na pia hata saivi ( mwezi huu wa sita) watu wamepanda
Kwahiyo kupanda ni kila mwezi? Kulinga na ulivyosema 'mzunguko wao'?Mzunguko wao ,mimi napanda wa tisa
Wanapata kutokana na Madaraja yao.Walio zaidi hawajaongeza chochote kitu?
Nimeajiriwa mwezi huo hata probation yangu nilimaliza mwezi huo.Kwahiyo kupanda ni kila mwezi? Kulinga na ulivyosema 'mzunguko wao'?
Kutoka salary step moja kwemda nyingine sasa hivi unafanyika uhuni wa kwamba mpaka mwezi wako wa kuajiriwa ndipo utapata annual increment.Kwahiyo kupanda ni kila mwezi? Kulinga na ulivyosema 'mzunguko wao'?
Hivi kumbe ni misimbazi 7 hadi 10 tu?Utofauti ni 70-100k.
Mi nasema daraja, sisemei incrementNimeajiriwa mwezi huo hata probation yangu nilimaliza mwezi huo.
Umeanza lini huo uhuni maana nilijua ni wote mnapewa kwa muda mmoja kama mwaka juzi walivyofanya..Kutoka salary step moja kwemda nyingine sasa hivi unafanyika uhuni wa kwamba mpaka mwezi wako wa kuajiriwa ndipo utapata annual increment.
290,000Watumishi wa umma kwani daraja moja ni sawa na sh ngapi?
Mimi sio mtumishi
Mbona mwezi wa tano sijaona increment yoyoteKutoka salary step moja kwemda nyingine sasa hivi unafanyika uhuni wa kwamba mpaka mwezi wako wa kuajiriwa ndipo utapata annual increment.
Huo nimeushuhudia mwaka jana. Sijajua kwa ishu ya haya mabadiliko yaliyotangazwa.Umeanza lini huo uhuni maana nilijua ni wote mnapewa kwa muda mmoja kama mwaka juzi walivyofanya..