fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,029
- 6,376
Imeisha hiyo ,tusubiri 23/6Mambo bado.
Imeisha hiyo ,tusubiri 23/6Mambo bado.
Wanajeshi wamepata leo, wengine labda usiku huu, kesho au Jumatatu kabisaImeisha hiyo ,tusubiri 23/6
Utailipa kwa Id hii hii? 😂😂😂Naomba mtu aniazime elf 40.
Malipo ni Mbnguni. Dunia tunapita VibeUtailipa kwa Id hii hii? 😂😂😂
Nikusave dollar mia=226,000 sema hela ya bongo makaratasiNaomba mtu aniazime elf 40.
Wa NMB juma tatu ni Mapema sana, ila CRDB mpaka juma nne.. 🙂 🙂Hebu mwambieni afanye kamchakato, atatuua.
Jumatatu mbali😭😭Wa NMB juma tatu ni Mapema sana, ila CRDB mpaka juma nne.. 🙂 🙂
Ili ukagonge mvinyo mpya kuukaribisha mshahara😀Naomba mtu aniazime elf 40.
Yap ukitoka bila kukosaUtailipa kwa Id hii hii? 😂😂😂
HahahaIli ukagonge mvinyo mpya kuukaribisha mshahara😀
Fanya kituNikusave dollar mia=226,000 sema hela ya bongo makaratasi
Click salary advance hapo. Vuta mpunga. ☺️☺️☺️Jumatatu mbali😭😭
Usife na njaa madam, njoo tu pm!Bado tu jamani twafa na njaa huku
Unaijua biashara wwKuna haja ya kuanzisha biashara aisee si kwa msoto huu