Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

kma una 30k jumatatu unafika vizuri, weekend

Hahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hv
Huwezi kuwa mtumishi wa uma alafu huna 1/3 mkuu itoshe kusema wewe ni tajiri mimi ningerudi bank kutafuta heshima sipendi kabisa mikato miwili kwenye mshahara mmoja
 
Hahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hv
🤣🤣🤣🤣 kwakweli huo ni unyanyasaji, raha ya deni msumbuane kidogo. Sasa wao ndio nini kufyeka pesa za wenzao namna hiyo, hata bila taarifa🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom