Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,811
- 8,438
Sio hapaNimeona hakuna la maana. Elfu 34
Sio hapaNimeona hakuna la maana. Elfu 34
Ni kudhalilishana tu. Yaani hata laki hawaweziSio hapa
Me mbona sielew wazee, kwamfano mm sijawah kukopa hapa najuaje kama imeingezeka hii deducted ndio ile 1/3 au ni nn wakuuNimeona hakuna la maana. Elfu 34
Mwenye uzi anasubiri tarehe 21 aje kusema pikipiki inatembelea chokiMmeanza mapema sana jamani duh..... Atoto
Hiyo ni ile unayoweza kukopea ila kuna nyingine hapo hujaiona ambayo inaingia kwenye moja ya tatu hivyo huwezi kukopea na ndio maana haionekani kwenye hela ya kukopea.Nimeona hakuna la maana. Elfu 34
True. Lakini picha inaonesha nini kipoHiyo ni ile unayoweza kukopea ila kuna nyingine hapo hujaiona ambayo inaingia kwenye moja ya tatu hivyo huwezi kukopea na ndio maana haionekani kwenye hela ya kukopea.
Wewe hii kesi haikuhusu subiri mwisho wa mwezi. Hii ni Kwa masugu wa mikopoMe mbona sielew wazee, kwamfano mm sijawah kukopa hapa najuaje kama imeingezeka hii deducted ndio ile 1/3 au ni nn wakuu
Hiyo ya kwako 😆😆😆Nimeona hakuna la maana. Elfu 34
Si Hana bia kumi napataHiyo ya kwako 😆😆😆
😂😂😂Si Hana bia kumi napata
Ofisini kwetu tangu jana watu wote wako bize kukopa😀😀😀Wewe hii kesi haikuhusu subiri mwisho wa mwezi. Hii ni Kwa masugu wa mikopo
Labda wamepata ongezeko la kueleweka sisi wa elf 34 utakopa nini kujichoreshaOfisini kwetu tangu jana watu wote wako bize kukopa😀😀😀
Hiyo elfu 34 ni yakukopea tu nadhani hilo salio zidisha mara 3 ndo nyongeza yote.Labda wamepata ongezeko la kueleweka sisi wa elf 34 utakopa nini kujichoresha
Yes ni ya kukopaHiyo elfu 34 ni yakukopea tu nadhani hilo salio zidisha mara 3 ndo nyongeza yote.
Ni kwenye Halmashauri, wizara au ni taasisi ya serikali?Ofisini kwetu tangu jana watu wote wako bize kukopa😀😀😀
HalmashauriNi kwenye Halmashauri, wizara au ni taasisi ya serikali?
Taasisi zingine mpaka leo hawaoni chochote. Tatizo sijui ni nini?Halmashauri
Sawa mkubwa 😀😀😀Wewe hii kesi haikuhusu subiri mwisho wa mwezi. Hii ni Kwa masugu wa mikopo
Nyongeza yenyewe 40000 utakopa hela gani ya maanaOfisini kwetu tangu jana watu wote wako bize kukopa😀😀😀