Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,326
- 5,374
Ndo utumishi wa ummaAisee, mnateswa
Ndo utumishi wa ummaAisee, mnateswa
Mwisho wa mwezi wa calendar. Mwisho wa mwezi wa mshahara ni tarehe 22Imagine leo ndio mwisho wa mwezi. Aisee Watumishi kutoboa ngumu sana.
😂😂😂😂 WACHOKONOZI MSHASHTUKIAWAKUU CHUNGULIENI KWENYE MFUMO ONGEZEKO LA JULAI TAYARI
Umeonaje/umeona nini?WAKUU CHUNGULIENI KWENYE MFUMO ONGEZEKO LA JULAI TAYARI
Pay roll za mwezi huu huenda teyari wameshazi-upload kwenye mfumo😂😂😂😂 WACHOKONOZI MSHASHTUKIA
Hawajaziachia ila ukienda kwenye loans utaona kuna kiasi kimeongezeka ukitaka kukopaPay roll za mwezi huu huenda teyari wameshazi-upload kwenye mfumo
Changes zinaridhisha?Hawajaziachia ila ukienda kwenye loans utaona kuna kiasi kimeongezeka ukitaka kukopa
Kiasi chake mkuuChanges zinaridhisha?
Kiasi chake mkuu
Unafanyeje kuona na kujua kipi kimeongezeka..?huwez kujua mkuu ila angalia kilichoongezeka kwenye kukopea then unatabiri
Kama una mkopo, fanya kama vile unataka ku-top up mkopo utaona kiwango unachoweza kukatwa kimeongezeka na hata kiwango cha mkopo ambacho uko eligible utaona pia kimeongezeka tofauti na miezi ya nyuma yaani kuanzia mwezi wa sita kurudi nyuma.Unafanyeje kuona na kujua kipi kimeongezeka..?
Unaonaje em tupe njia maana mm kila nikichungulia sioniWAKUU CHUNGULIENI KWENYE MFUMO ONGEZEKO LA JULAI TAYARI
Nenda kwenye list ya mabank then chagua yeyote alafu bonyeza utaona sehem ya maandishi mekundu inasomeka -Deductable amountUnaonaje em tupe njia maana mm kila nikichungulia sioni
Watumishi wa umma mnapenda sana mikopo,Hawajaziachia ila ukienda kwenye loans utaona kuna kiasi kimeongezeka ukitaka kukopa
Noma sana. Nimejaribu inashindwa kulod existing loans, mara internal error... Deductible yangu ni mia 700Kama una mkopo, fanya kama vile unataka ku-top up mkopo utaona kiwango unachoweza kukatwa kimeongezeka na hata kiwango cha mkopo ambacho uko eligible utaona pia kimeongezeka tofauti na miezi ya nyuma yaani kuanzia mwezi wa sita kurudi nyuma.
kitu ambacho huwezi una ni ongezeko kwenye basic salary . Kwa kifupi, utaona changes kwenye kiwango cha hela unayoweza kukopea na kama ulikuwa hukopesheki yaani umefika mwisho, sasa utaona unakopesheka kutokana na hilo ongezeko.
Hata hivyo, wengine bado hawaoni mabadiliko yoyote huenda wanafanya changes kwa awamu, ila baada ya muda wote mtakuwa mmeona hayo mabadiliko.
Leo mfumo uko bize hatariNoma sana. Nimejaribu inashindwa kulod existing loans, mara internal error... Deductible yangu ni mia 700
Nimeona hakuna la maana. Elfu 34Leo mfumo uko bize hatari