Kwa hiyo Kwa anayepata 900,000/- maana yake atapanda hadi 1,190,000/-?290,000
Duh Bora niendelee na business
Kwa hiyo Kwa anayepata 900,000/- maana yake atapanda hadi 1,190,000/-?290,000
Salary step haikubadilika? Ama labda umepata daraja jipya mwaka huu ama hujatimiza walau miezi 6 hadi mwaka toka upate daraja jipya.Mbona mwezi wa tano sijaona increment yoyote
Kwann?Nyie hamstahili
Ofcoz i have to worry!Don't worry about me
Salary tayari?
🤣🤣🤣🤣Duhhh, mpigie sa100, 07123456789
Zidisha MAOMBI 😀Kama tangu lianze sijawahi, basi naamini halitonikuta.
Hili jibu ni sahihi kabisa 🤣🤣🤣Ushauri wako mzuri ila kwenye huu uzi hatuutaki , kuulizana mishahara ni furaha yetu, kupata matunda ya kazi tuliyofanya mwezi wote, tunaburudika pia, mambo ya ushauri tunashukuru ndugu mfanyabiashara
Kwakweli🤣Zidisha MAOMBI 😀
Hatutaki🤣🤣🤣Msisahau pia kuongeza vimikondo vya hela Jamani,Kabiashara kidg burdaaan.
990000+ 290000Kwa hiyo Kwa anayepata 900,000/- maana yake atapanda hadi 1,190,000/-?
Duh Bora niendelee na business
Nimepanda daraja mwaka jana, mwaka huu sijapata increment na nimwezi wa tano ndio ajira yanguSalary step haikubadilika? Ama labda umepata daraja jipya mwaka huu ama hujatimiza walau miezi 6 hadi mwaka toka upate daraja jipya.
Una asilimia ngapi za utendaji kazi za mwaka uliopita ? kumbuka sio asilimia za utekelezaji !!Nimepanda daraja mwaka jana, mwaka huu sijapata increment na nimwezi wa tano ndio ajira yangu
Umeshaisha kabisa mkuu.Vipi watumishi NMB tayari?
Wamepanda mara mbili ndani ya miezi miwili au moja ni annual increment?Hata saivi Mkuu, kuna watu wamepanda mwezi wa tano (nina ushahidi) na pia hata saivi ( mwezi huu wa sita) watu wamepanda
😹😹Wale NMB tuliokosa weekend leo zikianza kuingia tupeane update ili tukachungulie
Hapana,Wamepanda mara mbili ndani ya miezi miwili au moja ni annual increment?
Tukutane Julai 23Wale NMB tuliokosa weekend leo zikianza kuingia tupeane update ili tukachungulie