🙏😀Nimekosa mimi, nimekosa mimi ,nimekosa sana....
🙏😀Nimekosa mimi, nimekosa mimi ,nimekosa sana....
4 sure. Ata mimi ngoja niamsheAm out here👋
Tuonane July na 35.5%
Tayari... BossNMB bado
Rafiki mambo ni motttrrroooooo. 🔥🔥🔥
Mkuuu vpi NMB mwezi huuu naona salary slip tuuu then mpunga kwa account hamn
Kutoka daraja gani hadi ganiDaaah naona wamegoma kunipandisha daraja
Don't worry about meBaba bulubendi you are missed aisee! How are you?
Ujajaza pepmis unataka kupanda polee usijali utapanda mwez wa 7 upandaji ni mchakato endelevuDaaah naona wamegoma kunipandisha daraja
Aisee ni balaaa mkuuComments za humu huwa zinanifurahisha sana
Kuna madogo wako uzi wa kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini?
Wakifanikiwa kule wanahamia huku mshahara wa Januari vipi mbona umechelewa?
Kupata kazi kwenyewe kazi na akipata kazi anakutana na mshahara dusko. Mungu awape wepesi watumishi
Lucas Mwashambwa
Daraja ni mwezi wa saba labda kama ulijiunga na utumishi mwezi wa sita.Daaah naona wamegoma kunipandisha daraja
Daraja ni mwezi wa saba labda kama ulijiujga na utumishi mwezi wa sita.
HahahaaaHama bank, hapa nasubiria tar 10 nivute salary advance
Ni balaa kichwa kina waka moto bado wategemez kibao.Yaani mkuu sisi wenye familia we Acha tu, majukumu mlima, bora walioko single afadhali.