Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,738
Mimi siko serikali ya TanzaniaKwanini wewe usiwe kwenye wale wachache?
Mimi siko serikali ya TanzaniaKwanini wewe usiwe kwenye wale wachache?
Mimi siyo mtumishi ila crdb walimu tyrBenk gani wewe?
CRDBEleza uko benki gani
Kweli kuna mdau nae amepata muda sio mrefu.CRDB
Kama unategemea mshahara HAUTALIKWEPA aminiHilo zimwi hapana kwakweli🤣
Benki ipi weweUzi ufungwe sasa hadi mwezi ujao
Au sio🤣🤣Njoo kawe ukwamani, Bar ya Liverpool uje uchukue 50000
Kama tangu lianze sijawahi, basi naamini halitonikuta.Kama unategemea mshahara HAUTALIKWEPA amini
Atakuwa CRDB mi nishaagiza mchemsho wa kuku na Safari ya baridiBenki ipi wewe
CRDB tayari kama lisaa lililopitaBenki ipi wewe
Tupitiane tukimbie, tukajiche kwa Mad Max bado ana stock ya dagaa🤣Tukimbie tu kama vipi🤣
Sema Haki ya Mungu.Uzi ufungwe sasa hadi mwezi ujao
Kisha umepata Salary,,,watumishi wa mamaNani kama mama