Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Dah!
Ila watumishiii...Watu ni mishahara hua haikutani ama namna ganii...Maana hua mshahara ukichelewa siku mbili tu hua ni taharuki!!

Msisahau pia kuongeza vimikondo vya hela Jamani,Kabiashara kidg burdaaan.
 
Ushauri wako mzuri ila kwenye huu uzi hatuutaki , kuulizana mishahara ni furaha yetu, kupata matunda ya kazi tuliyofanya mwezi wote, tunaburudika pia, mambo ya ushauri tunashukuru ndugu mfanyabiashara
 
Back
Top Bottom