STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,764
- 7,361
Kama huna huwezi kuona chochote, maana kinachokufanya uone ni dashboard ya E-Mikopo.. ambayo inaonesha balance ya mkopoJe kama hauna mikopo?
Kama huna huwezi kuona chochote, maana kinachokufanya uone ni dashboard ya E-Mikopo.. ambayo inaonesha balance ya mkopoJe kama hauna mikopo?
Hata wa bodi ya elimu ya juu?Je kama hauna mikopo?
Hata wa bodi ya elimu ya juu?
Yaani wakichukua salary advance yao nabakiwa na pesa kidogo sanaUnasubiria ipi bro, ya mwezi huu si ndio ulimpokelea mgeni 😂😂😂
HahahahahhahahahaNafuatilia kwa karibu! Kesho ni kitimoto, na lite kadhaa huku laki ikiwa kwenye mfuko wa shati! Nyumbani mama anachemsha kuku wa kienyeji kutoka pale shekilango! Baada ya wiki tunapaki tena basi!
Ndo maisha yetu watumishi!
Mkuu labda umelipwa mishe zako binafsiCRDB mambo tayari
Haaah si unachukua salary advance tena maisha yanaendaYaani wakichukua salary advance yao nabakiwa na pesa kidogo sana
Hahahaa circle inaendelea… kweli kutoboa ngumu sana mwambaHaaah si unachukua salary advance tena maisha yanaenda
Hii circle nataka niikatae naona kama inanipigisha mark time, sema Kuna muda unatingwa unaona cha kufia niniHahahaa circle inaendelea… kweli kutoboa ngumu sana mwamba
Siwezi kufa na hela nnayo aiseeHii circle nataka niikatae naona kama inanipigisha mark time, sema Kuna muda unatingwa unaona cha kufia nini
Ndogo kiasi kwamba ikimaliza wiki we ni mwamba 😂Yaani wakichukua salary advance yao nabakiwa na pesa kidogo sana
Circle ya Salary Advance ikianza, kujitoa ngumu sanaNdogo kiasi kwamba ikimaliza wiki we ni mwamba 😂
Halafu ukiweza hakuna difference zaidi ya kupigwa ribaCircle ya Salary Advance ikianza, kujitoa ngumu sana
Dah sijawahi kujaribu hiyo kitu, sitaki hata kuiwaza naona.....itakua haina tofauti na uteja kwa kukopa salioCircle ya Salary Advance ikianza, kujitoa ngumu sana
Salary adv nayo huwa ina riba?? 😳Halafu ukiweza hakuna difference zaidi ya kupigwa riba