Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,559
Tukaziuze wapi sasa🤣🤣🤣Walimu wataiba chaki....
Tukaziuze wapi sasa🤣🤣🤣Walimu wataiba chaki....
Yaani mkuu sisi wenye familia we Acha tu, majukumu mlima, bora walioko single afadhali.Aaah sio poa mkuu!
Masihara hayo mkuuCRDB Moshi mweupe umeonekana.
Saa sita kasoro kitu kimesoma.
Tukutane tena tarehe 23 July.
Bye.
Utasababisha watu waulize salioCRDB Moshi mweupe umeonekana.
Saa sita kasoro kitu kimesoma.
Tukutane tena tarehe 23 July.
Bye.
Yuko sahihiUtasababisha watu waulize salio
Salary bado sana
Au sio.....!!Utasababisha watu waulize salio
Salary bado sana
Sahihi.Mad Max ndo mwenye mamlaka ya kufunga hili zoezi 😂😂😂
Kumbe unarusha watu roho?Au sio.....!!
Ndio Limojina lako umeprove limo ktk mfumo ? kama lishaingia kuwa na amani. ila kama huna uhakika mchek afsa utumishi akuchek kwa orodha,
🤣🤣🤣 Hivi walimu waliikosea nini nchi, maana wanaandamwa sana.Wanalipa tulia mwalimu
Serious?CRDB tayari ndugu zangu mm nimeona sasa hivi saa nne usiku
Dah mkuu mimi nina stress ila hizi zako Mungu akupiganie haya yote yanasubiri mshahara🙆🏾♀️Daa hii comment imenifanya nicheke sana usiku huu mpaka machozi yamenitoka. Hii comment imenigusa sana. Imagine gari limezidi kilometa za service, ada inatakiwa, bima inatakiwa, likizo inaisha watoto warudi likizo kutoka kwa babu yao sasa watumiwe nauli warudi home, kodi inatakiwa biashara mbaya, wazazi wanapiga mizinga kama kikundi cha magaidi. Kama kuna mtumishi wa umma sio mwizi basi wachache sana.
Chanzo cha yote hayo ni wewe mwenyewe ,pambana.!Daa hii comment imenifanya nicheke sana usiku huu mpaka machozi yamenitoka. Hii comment imenigusa sana. Imagine gari limezidi kilometa za service, ada inatakiwa, bima inatakiwa, likizo inaisha watoto warudi likizo kutoka kwa babu yao sasa watumiwe nauli warudi home, kodi inatakiwa biashara mbaya, wazazi wanapiga mizinga kama kikundi cha magaidi. Kama kuna mtumishi wa umma sio mwizi basi wachache sana.
Twisheni center 😁Tukaziuze wapi sasa🤣🤣🤣
Usikimbie bluebandHuu uzi nimeusaka sana.
Vipi jamani hali ikoje? Soon nakimbia familia🙆♂️🙆♂️
Unaogopa kuwa teja wa Salary Advance 😁😁Hilo zimwi silitaki.
🤣🤣🤣🤣Twisheni center 😁
Baba bulubendi you are missed aisee! How are you?Usikimbie blueband
Ada sh ngapi