Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,671
- 3,600
Alaf hii figure Haina uhalisia kwanguUkilipa madeni unabaki na laki3,
Bora tuliojiajiri tu unaingiza hela kila siku
Alaf hii figure Haina uhalisia kwanguUkilipa madeni unabaki na laki3,
Bora tuliojiajiri tu unaingiza hela kila siku
Benk gani wewe?HAYA WATUMISHI MSHAHARA UMETOKA MKALIPE MADENI
Ni kweli kabisa. Safari hii wamewahi.Wameshaweka salary slip ESS, Itakuwa mzigo upo njiani
Benki gani mkuu?Moshi mweupeeee
Hiyo figure sidhani, umetupiga changa la macho.Sina madeni
Ukimaanisha anapata zaidi au chiniHiyo figure sidhani, umetupiga changa la macho.
Mnachokonoa hatariWameshaweka salary slip ESS, Itakuwa mzigo upo njiani
Nikajua wewe 😆 TZ bhanaKuna watu hawategemei salary unakuta mtu ana nyumba 10 za kupangisha
Kwani wewe si mtumishi?? 😂😂Hivi inakuaje mtu unafulia mpaka unabaki na elfu 15 tu?
Hao unakuta age pia iko lenta 😂😂Kuna watu hawategemei salary unakuta mtu ana nyumba 10 za kupangisha
Huyo Yuko traKwani wewe si mtumishi?? 😂😂
Hii mambo ya kawaida kabisa
mtumishi wa TRA!?! Hapa ni wafanyakazi wa uma tu 😂😂Huyo Yuko tra
Kwani ofisa wa tra sio mfanyakazi wa umma?mtumishi wa TRA!?! Hapa ni wafanyakazi wa uma tu 😂😂
Kweli nimekuta mzigo ndichi! Ndo napata kongoro hapa leo baridi kinoma 😁Kachukueni sasa mambo yapo fresh
Eleza uko benki ganiKachukueni sasa mambo yapo fresh
Wengine mpaka muda huu ni bila bila.Walimu wanajeshi Polisi wote walipata jana jioni
Niko Dar my dearKijijini au sio
Dar na mishahara inakutana, dah we ni tajiri.....Niko Dar my dear