Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ila watumishi wa umma wengi mna hali mbaya, wachache wanafaidi keki ya taifa. Nashukuru Mungu huku kwetu yaani hata huulizii mshahara maana huwa inakutana na kuishi pamoja.
Kwanini wewe usiwe kwenye wale wachache?
 
Daa hii comment imenifanya nicheke sana usiku huu mpaka machozi yamenitoka. Hii comment imenigusa sana. Imagine gari limezidi kilometa za service, ada inatakiwa, bima inatakiwa, likizo inaisha watoto warudi likizo kutoka kwa babu yao sasa watumiwe nauli warudi home, kodi inatakiwa biashara mbaya, wazazi wanapiga mizinga kama kikundi cha magaidi. Kama kuna mtumishi wa umma sio mwizi basi wachache sana.
Hapo hasara kubwa ni gari Kwa sababu umelinunua Kwa mkopo, halafu bado linahitaji mambo mengii like fuel, service, insurance, fine za barabarani.
 
Back
Top Bottom