Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mkuu mbona umeshikilia sana issue ya PEPMIS..!!
Mimi utekelezaji wangu wa PEPMIS tangu mwezi wa 4(April) nilikuwa na 97.5% sasa utaniambiaje sikapata mshahara kwa sababu ya PEPMIS..?
Sipo makini katika hili, dhamira yangu ni kupiga soga tu muda uende huku nikisikilizia SMS ya ndugu mteja umepokea....
 
Haya mnayopitia NMB ndio tulipitia CRDB last month mpk nikaanzisha uzi humu...hii tabia inakera
 
Chauma wanalipwa fasta ila watumishi mpaka walie machozi ya damu... Ndo maana mtu akishabikia Ccm natamani hata nimlambe makofi..
 
BAAAAAAAASI!! Napenda kuutangazia umma kuwa uzi huu umefungwa mpaka mwezi ujao tarehe za ulimi nje kama mbwa wa kizaramo ,hivyo basi ambae hajapata chake atakua amestaafishwa huyo asubiri mafao ya uzeeni na sio mshahara.

Asanteni
itakuwa shida ya mtandao baadhi NMB bado mzigo ujaingia ila salsry slip usiku mwing ziko tayari awali ziikuwa zinagoma
 
Mimi nipo na simu muda wote kusikilizia salary.. bado ni hola.. hii ni weekend ya hovyo sana kudadeq
 
Back
Top Bottom