Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wekeni sequel
Hii januari tuwe tunarudi tena januari....
Sasa tuendelee na May
 
Hapana mkuu tunakumbushana tu mkuu huu utaratibu wa mtu anaajiriwa baada ya mda mchache anakopa hela ananunua gari anaenda nalo ofisini ana li park jioni anarudi nyumbani halafu weekend analipeleka garage halafu mwisho wa mwezi anakuja kwenye huu uzi we need financial freedom.
Ukipata financial freedom unakuwa umejipunguzia kukurukakara na vya kupambania vitapungua na utakuwa unatafuta nini duniani bora ufe tu 🤣🤣🤣
 
Kuna Jamaa yupo Garage.. alienda kuchokonoa kitu huko.. inatakiwa 500k alitegemea mzigo utasoma asubuhi.. na yupo mkoa sio wake..

Wakifelisha leo, jamaa itabid aache gari apande Bus.. aingie gharama tena za kufata gari..

Huku kuchelewesha hela kunaumiza watu hawajui tu.
Kama ana sehemu ya kujihifadhi kwa muda, ni bora asubiri ili kuepusha gharama zaidi.
Sijajua sababu ya msingi ya kuwa na utofauti katika utoaji, inawezekana labda ni matatizo ya kiufundi; kwa sababu data zinaingizwa na binadamu kama sisi.​
 
Back
Top Bottom