fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,029
- 6,376
Lini??Mara kibao tu
Lini??Mara kibao tu
Mshahara wenyewe ni kiasi gani wa kujifunzia nidhamu mkuu?Waweke pesa jumatatu ili watumishi wa uma mjifunze nidhamu ya pesa.
Nidhamu ya pesa ni pamoja na kuwa na vyanzo mbadala vya mapato.Mshahara wenyewe ni kiasi gani wa kujifunzia nidhamu mkuu?
Mkuu fanyeni fanyeni huko ndani akaunti zisome leo au kesho hayo ya vyanzo mbadara vya mapato embu achana navyo kwanza.Nidhamu ya pesa ni pamoja na kuwa na vyanzo mbadala vya mapato.
😂😂😂😂 Sema jamaa wanazingua, mshahara wa April wametoa mapema sana sababu ya Pasaka, sasa watu wanaenda kuvuka zaidi ya 31 days bila malipo.Mkuu fanyeni fanyeni huko ndani akaunti zisome leo au kesho hayo ya vyanzo mbadara vya mapato embu achana navyo kwanza.
Mshahara wa april umetoka tarehe 24 pasaka ilivuka bila mshahara😂😂😂😂 Sema jamaa wanazingua, mshahara wa April wametoa mapema sana sababu ya Pasaka, sasa watu wanaenda kuvuka zaidi ya 31 days bila malipo.
Ndio hivyo muasisi
Kumbe mwezi haujaishaMshahara wa april umetoka tarehe 24 pasaka ilivuka bila mshahara
Leo usiku had kesho asubuhiMshahara wa april umetoka tarehe 24 pasaka ilivuka bila mshahara
Mi kazi nimeanza 2013 huu uzi niko nao km Chadema na Tundu Lissu kwa hio unataka uniambie nn we charii nikuanzishie kwereNchi yetu ina shida sana utakuta mtu yupo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 ila bado anachungulia huu uzi wa mshahara ni msiba kwa kweli.
Pole ndugu.Faraaaja nakuita farajaaaa uko wapi farajaaaa eeeeenh unga umebaki robooo tembele nje mbuzi wamepita nalooooo mshahara ndo huoo jamani jamani
View attachment 3342315
Hapana mkuu tunakumbushana tu mkuu huu utaratibu wa mtu anaajiriwa baada ya mda mchache anakopa hela ananunua gari anaenda nalo ofisini ana li park jioni anarudi nyumbani halafu weekend analipeleka garage halafu mwisho wa mwezi anakuja kwenye huu uzi we need financial freedom.Mi kazi nimeanza 2013 huu uzi niko nao km Chadema na Tundu Lissu kwa hio unataka uniambie nn we charii nikuanzishie kwere
Nikmekuelewa mkuu... much respectHapana mkuu tunakumbushana tu mkuu huu utaratibu wa mtu anaajiriwa baada ya mda mchache anakopa hela ananunua gari anaenda nalo ofisini ana li park jioni anarudi nyumbani halafu weekend analipeleka garage halafu mwisho wa mwezi anakuja kwenye huu uzi we need financial freedom.
Nimeona washakata vyao, Muda wowote na sisi tunapata chetu.Hii ngoma ni usiku huu au kesho asubuhi, makato yameshapita kwenye ESS.
what we really need is spiritual freedom! uwe na uhakika ukitwaliwa leo au kesho kutoka katika maisha haya unaenda wapi.Hapana mkuu tunakumbushana tu mkuu huu utaratibu wa mtu anaajiriwa baada ya mda mchache anakopa hela ananunua gari anaenda nalo ofisini ana li park jioni anarudi nyumbani halafu weekend analipeleka garage halafu mwisho wa mwezi anakuja kwenye huu uzi we need financial freedom.