Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

20250523_214239.jpg

Ingawa mzigo bado sijauona... wacha tujilipue.
 
Ngoja tusubirie Leo hii Jumamosi
Ila Toka juzi jioni niliona makato ya mkopo yamefanyika kwenye PEPMIS yangu.
Sasa kwanini Hawa Bank hawataki kuniwekea pesa yangu..?
 
Mkuu mbona umeshikilia sana issue ya PEPMIS..!!
Mimi utekelezaji wangu wa PEPMIS tangu mwezi wa 4(April) nilikuwa na 97.5% sasa utaniambiaje sikapata mshahara kwa sababu ya PEPMIS..?
 
Hili suala la kulipa salary kwa mafungu mamlaka husika zina kila sababu ya kutoa maelezo ya kina ni nini sababu.
 
Back
Top Bottom