lets hopeAmbao hamjapata, jioni mnaweza kufanikisha
lets hopeAmbao hamjapata, jioni mnaweza kufanikisha
Ishu ya Mshahara ni automation process, ni uzembe tu umefanyika. Na hii ishu ishakuwa ni kawaida watu kutofautiana hela kuingia.Kama ana sehemu ya kujihifadhi kwa muda, ni bora asubiri ili kuepusha gharama zaidi.
Sijajua sababu ya msingi ya kuwa na utofauti katika utoaji, inawezekana labda ni matatizo ya kiufundi; kwa sababu data zinaingizwa na binadamu kama sisi.
Bila bila mwamba.Vipi taasisi yenu mmepata?
Ishu ya Mshahara ni automation process, ni uzembe tu umefanyika. Na hii ishu ishakuwa ni kawaida watu kutofautiana hela kuingia.
Mbona makato wanakata haraka? Au lini ilitokea Mshahara ukaingia bila kukatwa PAYE? Ndio ujue kuna Uzembe au maksudi tu ya watu fulani.
Kuna upumbavu mwingine ikifika jpil hakuna hela inayolipwa. Jmos tu yenyew hii sina imani kama watalipa hawa.
Hapa tushakosa Salary this is not normalIshu ya Mshahara ni automation process, ni uzembe tu umefanyika. Na hii ishu ishakuwa ni kawaida watu kutofautiana hela kuingia.
Mbona makato wanakata haraka? Au lini ilitokea Mshahara ukaingia bila kukatwa PAYE? Ndio ujue kuna Uzembe au maksudi tu ya watu fulani.
Kuna upumbavu mwingine ikifika jpil hakuna hela inayolipwa. Jmos tu yenyew hii sina imani kama watalipa hawa.
Swali langu ni lini mshahara ukaingia bila kukatwa KODI au PSSSF na Bank hawajakata cha kwao? Kama kuna siku iliwah tokea hivyo mie nitaamini ni MANUAL.Sehemu kubwa ya mchakato wa malipo ni 'manual'; Ingekuwa ni mashine/ roboti ndio imesetiwa ikifika tarehe fulani inajifyatua, kungekuwa hakuna shida.
Swali langu ni lini mshahara ukaingia bila kukatwa KODI au PSSSF na Bank hawajakata cha kwao? Kama kuna siku iliwah tokea hivyo mie nitaamini ni MANUAL.
Kuishi kwa imani ni muhimuAsante sana
Hapa tushakosa Salary this is not normal
Mbona kwenye ESS tyr makato washakata? Alafu hela kwangu haijaingia?Mchakato wa malipo ya mshahara unaanzia kwenye ofisi uliopo, na makato wanaingiza wao ili ata kama umekopa bank wapate chao, au kama haupo kazini mshahara usimamishwe n.k.
Itasoma tu, wewe nenda kwa mangi utamlipa jioni.Mbona kwenye ESS tyr makato washakata? Alafu hela kwangu haijaingia?
nmb mzigo umesomq tayarMbona kwenye ESS tyr makato washakata? Alafu hela kwangu haijaingia?
Jifanye hujaona. Hongera mkuuMzigo umeingia now ,,afu kibaya umenikuta bar nachek mpira wa Mamelod na pyramid
Hata CRDB tyrnmb mzigo umesomq tayar
Slow down..'A week Ahead'Acha mtanikuta nyie wa 23 June.
Wiki sio mbali