Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Slow down..'A week Ahead'
SELECT
CONCAT(
CHAR(73), -- I
CHAR(116), -- t
' ',
CHAR(105), -- i
CHAR(115), -- s
' ',
CHAR(97), -- a
CHAR(108), -- l
CHAR(109), -- m
CHAR(111), -- o
CHAR(115), -- s
CHAR(116), -- t
' ',
CHAR(104), -- h
CHAR(101), -- e
CHAR(114), -- r
CHAR(101) -- e
)
 
Wadau naombeni msaada kuhusu hili,,Nilikuwa na shida kama milioni 2 hivi sasa nikaingia kwenye mfumo wa ESS ili nikope.Process yote inaenda vizuri lakini ikifikia kwenye kuconfirm inagoma inanijibu kwamba"You have a pending loan please wait until its complete or make a decision on incomplete loan"vipi wadau hii imeakaaje ukizingatia mm sina mkopo au kuna ambaye keshakutana na hii inshu?
 
Utakuwa uliomba mkopo na kabla ya kukuamilisha process umeomba tena kwa mara nyingine
 
Back
Top Bottom